Huduma zetu • what we offer
Mikopo ya biashara
Kuanzia TZS 100,000 hadi milioni 10 | Mchakato rahisi, riba nafuu, malipo ya kubaliana na mapato yako.
➔ Riba rafiki kwa WoteMikopo ya Dharura
Kuanzia TZS 100,000 hadi milioni 10 | Mchakato rahisi, riba nafuu, malipo ya kubaliana na mapato yako.
➔ Riba rafiki kwa WoteMikopo kwa Vikundi
Mikopo ya vikundi yenye dhamana ya kijamii, elimu ya biashara na ushirikiano.
➔ Hadi milioni 10 kwa kikundiKuhusu sisi • About Retawa
Tangu 2012, Retawa Financial Services imekuwa ikitoa huduma za kifedha kwa wajasiriamali na familia Arusha na mikoa ya kaskazini.
- Makao makuu: Sakina, Arusha
- Matawi 5 kukufikia mteja wetu
- Zaidi ya wateja 8,500 wamehudumiwa
"Retawa ilinisaidia kupanua duka langu kutoka kibanda hadi jengo. Asanteni sana."
— Mwanaidi J., mteja tangu 2018
Wasiliana nasi
+255 712 949 006
info@retawafinancialservices.com
Jumatatu – Ijumaa: 8:00 – 17:00
Jumamosi: 9:00 – 14:00